Avengers: Age of Ultron : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Avengers Age of Ultron hadi Avengers: Age of Ultron: usahihi wa jina
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Avengers_Age_of_Ultron_poster.jpg|thumb|Jalada la kutolewa kwa maonyesho]]
'''Avengers: Age of Ultron''' ni [[filamu]] ya [[Marekani]] ya mwaka [[2015]] iliyotengenezwa na kusambazwa na Marvel Studios. Ni safu inayofuata baada ya [[filamu]] ya The Avenger ya [[2012]] ni [[filamu]] ya 11 katika [[Marvel Cinematic Universe]] (MCU).