Shirika Lisilo la Kiserikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:World_NGO_Day_2019,_Council_of_Europe.jpg|thumbnail|right|200pax|mkutano wa asasi zisizo za kiserikali duniani mwaka 2019]]
'''Shirika Lisilo la Kiserikali''' (mara nyingi kwa kifupi cha [[Kiingereza]] kama '''"NGO"''' kwa "non-governmental organization") ni maungano ya watu wanaoshirikiana pamoja kwa kulenga shughuli za jamii kwa jumla. Haipokei maagizo kutoka kwa serikali wala hailengi faida ya kifedha kwa watu wanaoendesha shirika.