Werner Forssmann : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 27 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q77152 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Werner Forssmann nobel.jpg|thumbnail|right|200px|Werner Forssmann]]
 
'''Werner Forssmann''' ([[20 Agosti]] [[1904]] – [[1 Juni]] [[1979]]) alikuwa daktari mpasuaji kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Pamoja na kazi ya [[upasuaji]] alichunguza magonjwa ya moyo na ya mkojo. Alikuwa daktari mpasuaji mkuu katika hospitali za miji ya [[Dresden]] na [[Düsseldorf]]. Mwaka wa [[1956]], pamoja na [[Andre Cournand]] na [[Dickinson Richards]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.