Hugo Theorell : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 28 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q156480 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Hugo Theorell nobel.jpg|thumbnail|right|200px|Hugo Theorell]]
 
'''Axel Hugo Teodor Theorell''' ([[6 Julai]] [[1903]] – [[15 Agosti]] [[1982]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Sweden]]. Hasa alichunguza kazi ya [[kimeng’enya|vimeng’enya]] katika [[chembe hai]]. Mwaka wa [[1955]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.