Frederick Robbins : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q309885 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Frederick Chapman Robbins nobel.jpg|thumbnail|right|200px|Frederick Chapman Robbins]]
 
'''Frederick Chapman Robbins''' ([[25 Agosti]] [[1916]] – [[4 Agosti]] [[2003]]) alikuwa daktari wa watoto kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa [[1954]], pamoja na [[John Enders]] na [[Thomas Weller]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.