Tofauti kati ya marekesbisho "Philip Hench"

81 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
+image #WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 27 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q235651 (translate me))
(+image #WPWP#WPWPTZ)
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Philip Showalter Hench.jpg|thumbnail|right|200px|Philip Showalter Hench]]
 
'''Philip Showalter Hench''' ([[28 Februari]] [[1896]] – [[30 Machi]] [[1965]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Marekani]]. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza [[homoni]] katika gamba la [[tezi adrenali]]. Pia alitafiti kutibu [[ugonjwa wa baridi yabisi]] (''arthritis''). Mwaka wa [[1950]], pamoja na [[Edward Kendall]] na [[Tadeus Reichstein]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.