Tsung-Dao Lee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 42 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q183679 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:TD Lee.jpg |thumbnail|right|200px|Tsung Dao Lee]]
 
 
'''Tsung-Dao Lee''' (amezaliwa [[25 Novemba]] [[1926]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[China]]; baadaye alihamia [[Marekani]]. Hasa alichunguza vipande vya [[atomu]] na nadharia yake. Mwaka wa [[1957]], pamoja na [[Chen Ning Yang]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.