Tofauti kati ya marekesbisho "Giorgos Seferis"

66 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
+image #WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 55 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q165823 (translate me))
(+image #WPWP#WPWPTZ)
 
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:George Seferis.JPG |thumbnail|right|200px|George Seferis]]
 
'''George Seferis''' ([[13 Machi]] [[1900]] – [[20 Septemba]] [[1971]]) alikuwa mwanasiasa na mshairi kutoka nchi ya [[Ugiriki]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Giorgios Stylianou Seferiades''. Miaka ya 1957-1962 alikuwa balozi Mgiriki kwa Uingereza. Mwaka wa 1963 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.