Johannes Vilhelm Jensen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 52 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q159552 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Johannes Vilhelm Jensen 1944.jpg|thumbnail|right|200px|Johannes Vilhelm Jensen]]
 
'''Johannes Vilhelm Jensen''' ([[20 Januari]] [[1873]] – [[25 Novemba]] [[1950]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Denmark]]. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] yake "Safari Ndefu" (kwa Kidenmark ''Den lange rejse'') iliyotolewa katika majuzuu sita miaka ya 1908-22. Mwaka wa 1944 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.