John Van Vleck : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 36 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q193655 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:JH van Vleck 1974.jpg|thumbnail|right|200px|John Van Vleck]]
 
'''John Hasbrouck Van Vleck''' ([[13 Machi]] [[1899]] – [[27 Oktoba]] [[1980]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza nadharia ya [[atomu]], na [[usumaku]]. Mwaka wa 1977, pamoja na [[Philip Anderson]] na [[Nevill Mott]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.