Madini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +image #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Pyrite elbe.jpg|thumb|250px|[[Nyengwe]] (Pyrite) ni kampaundi ya [[chuma]] na [[sulfuri]] yenye fuwele nzuri]]
[[Picha:Aw (2).jpg|thumb|Uchimbaji wa madini katika mgodi]]
'''Madini''' (kwa [[Kiarabu]]: '''معدن''', ''ma'adan''; kwa [[Kiingereza]]: ''mineral'') ni [[dutu]] [[mango]] inayopatikana [[duniani]] kiasili. Madini huwa na [[tabia]] maalumu ya [[Kemia|kikemia]], si [[mata]] ogania na mara nyingi huwa na [[muundo]] wa [[fuwele]] (kristali). Kwa [[lugha]] nyingine: Madini ni [[elementi]] au [[kampaundi]] ya kikemia inayoonyesha [[umbo]] la fuwele na ambayo imejitokeza katika mchakato wa [[Jiolojia|kijiolojia]].