Hrazdan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 32 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q31610 (translate me)
+image #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Hrazdan coll. 2014.jpg|thumbnail|right|280px|Mji wa Hrazdan]]
 
'''Hrazdan''' ([[Kiarmenia]]: ''Հրազդան'' - unaitwa wa [[Kirumi]] kama '''Razdan'''; zamani, '''Akhta''', '''Akhti''', '''Akhtala''', '''Nizhniye Akhty''', '''Nizhne Akhti''', '''Nerkin Akhta''', na '''Nizhnyaya Akhta''') ni mji mkuu wa mkoa wa [[Kotayk]] huko nchini [[Armenia]]. Jina linatokana na jina la Kiajemi-cha-Kati ''Frazdan''. ''Farzdan'' limeungana na hadithi ya Kiajemi ya Zoroastria. Mji una wakazi wapatao 42,150 na kuufanya uwe mji wa tano kwa ukubwa huko nchini Armenia kwa hesabu ya wingi wa wakazi. Wakati wa maiaka ya [[Soviet|Wasovyeti]] ulikuwa moja kati ya miji yenye viwanda vingi katika orodha ya miji ya Jamhuri ya Armenia.
== Tazama pia ==