Moto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +image #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 26:
 
== Moto na utamaduni ==
[[Picha:Des8.jpg|thumb|Mtu akikoleza moto kiasili]]
 
=== Matumizi asilia ya moto ===
[[Wataalamu]] wanaamini ya kwamba watu wa kale sana waliona faida ya kutumia moto uliotokea kiasili kutokana na [[radi]] n.k. Walipokuta [[wanyama]] waliokufa katika moto wa aina hii waliona ya kwamba [[nyama]] iliyochomwa na moto ni [[lishe]] bora kuliko nyama mbichi. Walitambua pia ya kwamba [[mimea]] au sehemu za mimea zilikuwa [[chakula]] bora baada ya kukaa motoni kwa [[muda]] fulani.