Albert Szent-Györgyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 43 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q180468 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:GyorgyiNIH.jpg|thumbnail|right|200px|Albert Szent-Györgyi]]
 
'''Albert Szent-Györgyi''' ([[16 Septemba]] [[1893]] – [[22 Oktoba]] [[1986]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Hungaria]]. Pamoja na nchi yake ya kuzaliwa alifanya kazi katika nchi mbalimbali kama Uholanzi, Ujerumani, Uingereza na Marekani. Alichunguza mambo mengi ya biokemia, na anajulikana hasa kwa utafiti wake wa [[vitamini C]]. Mwaka wa [[1937]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.