406
edits
d (Bot: Migrating 35 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q58054 (translate me)) |
(+image #WPWP#WPWPTZ) |
||
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Ernst Boris Chain 1945.jpg|thumbnail|right|200px|Ernst Boris Chain]]
'''Ernst Boris Chain''' ([[19 Juni]] [[1906]] – [[12 Agosti]] [[1979]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Kwa vile alikuwa [[Wayahudi|Myahudi]] alihamia nchi wa [[Uingereza]] wakati wa [[Adolf Hitler]] kupokea utawala wa Ujerumani. Chain hasa alichunguza [[kiua vijasumu|viua vijasumu]]. Mwaka wa [[1945]], pamoja na [[Alexander Fleming]] na [[Howard Walter Florey]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''. Mwaka wa [[1969]] alipewa cheo cha "Sir".
|
edits