Samsun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+image #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Samsun genel kolaj.JPG|thumbnail|right|280px|Samsun]]
'''Samsun''' ni jina la [[Orodha ya miji ya Uturuki|mji]] uliopo kaskazini mwa nchi ya [[Uturuki]]. Mji upo katika pwani ya [[Bahari Nyeusi]], ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa [[Mkoa wa Samsun]] na ni bandari muhimu kabisa mjini hapa.