Ruaha Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+image #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[File:Ruaha National Park Panorama.jpg|thumbthumbnail|centerright|800px200px|[[Mandhari]] ya [[Hifadhi ya Ruaha|Hifadhi ya Taifa ya Ruaha]] na mto wake [[tarehe]] [[27 Julai]] [[2003]].]]
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi".