Mavazi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d +image #WPWP,#WPWPTZ |
||
Mstari 1:
[[Picha:KangaSiyu1.jpg|thumb|
[[Picha:08 Flora Umutesi at work.jpg|thumb|Mwanamke akifua nguo zake]]
'''Mavazi''' (kutoka [[kitenzi]] "kuvaa") ni [[nguo]] ambazo huvaliwa na [[watu]] ili kufunika [[mwili]] au sehemu zake. Mavazi huwa na makusudi mbalimbali:
* hukinga mwili dhidi ya [[baridi]] au [[jua]] kali pamoja na athira nyingine za mazingira zinazoweza kuathiri vibaya mwili uchi.
|