Zao la biashara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +image #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Ac6.jpg|thumb|Chai kama zao la biashara]]
'''Zao la biashara''' ni chochote kile kinachozalishwa na [[binadamu]] si kwa ajili ya matumizi yake na ya [[familia]] yake, bali kwa ajili ya kukiuza na kupata [[pesa]] zitakazomwezesha kujiendeleza kwa namna yoyote: masomo, [[afya]] n.k.