Kundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +image #WPWP,#WPWPTZ
d #WPWP,#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Picha:Wikipedia Editathon Tanzania 2018.jpg|thumb|Baadhi ya wanakundi la wikipedia Tanzania]]
'''Kundi''' ni [[idadi]] ya [[watu]] au [[vitu]] vilivyopo, vimekusanyika, au vinavyowekwa pamoja. [[Neno]] hilo limekuwa likitumika mara nyingi [[kuonyesha]] mkusanyiko wa [[watu]], [[wanyama]], [[Ndege (mnyama)|ndege]] wa [[Anga|angani]] au [[wadudu]]. ambapo [[mkusanyiko]] huo hutokana ana kuwepo kwa kufanana kwa maana ya [[tabia]] au muonekano wao.
 
==Kundi la watu==
[[Picha:Wikipedia Editathon Tanzania 2018.jpg|thumb|Baadhi ya wanakundi la wikipedia Tanzania]]
Mara kwa mara makundi ya watu huhusisha kuwepo kwa jambo fulani kati ya [[wahusika]] ambao wamekutana katika kundi hilo. Kwa mfano kuwepo kwa [[majadiliano]] juu ya [[jambo]] fulani kati yao au katika [[harakati]] za kutatua jambo fulani kati yao.