Shahada ya Awali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[picha:ICC_Bachelor_Gown_and_Hood.JPG|thumbnail|right|200pax|Vazi maalumu linalovaliwa na wahitimu wa ngazi ya Bachelor Degree]]
'''Shahada ya awali''' (pia: '''Digrii ya bachelor''' <ref>[[Neno]] "bachelor" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] kimsingi linataja mtu [[Ndoa|asiyeoa]] bado lakini mwenye [[umri]] wa kutosha.</ref>) ni [[shahada]] ya kwanza inayotolewa kwa [[mwanafunzi]] wa [[chuo kikuu]] aliyefaulu masomo ya [[fani]] fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa [[chuo]].