Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Mwangi2017 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
spam
Mstari 46:
 
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu, haswa anapoishi karibu na [[Jengo|majengo]] ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]].<ref>[http://www.buildinginspectionsadelaide.com.au/timber-pest-inspections-necessary-buying-house/ Timber pests]</ref>
 
Wale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la [[uchafu]] kutokana na [[kinyesi]] chao.<ref>[https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ Kuhusu kinyesi cha mchwa]</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta [[dawa]] za kuua wadudu hawa au njia nyingine asili za kuwadhibiti kama vile utumizi wa [[udongo]] ''Diatomaceous'' au [[mafuta]] ya [[kitunguu saumu]] zinazoathiri wadudu<ref>{{Cite web|url=https://pestsguide.com/termites/get-rid-of-termites-forever|title=How to Get Rid of Termites: A Comprehensive Guide (2019)|author=Ambru|date=2018-11-24|language=en-US|work=PestsGuide|accessdate=2019-06-17}}</ref>.