Gaziantep : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Gaziantep city.jpg|thumbnail|right|200px|Mji wa Gaziantep]]
'''Gaziantep''' (kwa [[Kiosmani Kituruki]]; ''Ayintap''; [[jina]] la zamani na hadi leo linatumika kufupisha kama: '''Antep''') ni [[mji mkuu]] wa [[Jimbo la Gaziantep]] nchini [[Uturuki]]. [[Mji]] huu unatazamwa kama moja kati ya miji ya kale [[duniani]] ambayo hadi leo bado inakaliwa.