Uvimbe wa ubongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d #WPWP,#WPWPTZ
d #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Granulomatous amoebic encephalitis (2).png|thumb|Picha inayo onyesha uvimbe kwenye ubongo]]
'''Uvimbe wa ubongo''' (kwa [[Kiingereza]] ''encephalitis'') ni [[ugonjwa]] ambao husababisha [[ubongo]] kuvimba ghafla. Kwa kawaida husababishwa na [[virusi]], [[bakteria]] ( kwa [[Kiingereza]] ''Granulomatous amoebic encephalitis'')<ref>https://www.cdc.gov/parasites/acanthamoeba/index.html</ref>, au vijidudu vingine. Kadiri ubongo unavyovimba, huweza kuharibiwa wakati unapokwaruzana na [[fuvu]].
 
Uvimbe wa ubongo unaweza kusababisha [[dalili]] hatarishi kama vile kupata [[kifafa]] na [[kiharusi]], na hii inaweza kuwa mbaya zaidi.