Nyuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza picha
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 18:
*[[Xylocopinae]]
}}
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|300px|Mwili wa nyuki. A: Kichwa B: Toraksi (kidari) C: Fumbatio.
1: Gena (shavu) 2: Verteksi (paji) 3: Oselli (macho sahili) 4: Papasio 5: Jicho tata 6: Ndevu 7: Kinywa 8: Mguu wa mbele 9: Femuri (paja) 10: Mguu wa kati 11: Ukucha 12: Tarsi 13: Tibia (goko) 14: Mguu wa nyuma 15: Sterno 16: Mwiba 17: Ubawa wa nyumba 18: Ubawa wa mbele]]
'''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye [[mabawa]] manne angavu na [[mwiba]] nyuma ya mwili wao. Hukusanya [[mbelewele]] na [[mbochi]] ya [[maua]] kama [[chakula]] chao.
 
[[Spishi]] inayojulikana hasa ni [[nyuki-asali]] (''[[Apis mellifera]]'') ambaye hufugwa kila mahali duniani. Kuna spishi zaidi ya 20,000 zinazojumlishwa na [[biolojia]] kati ya nyuki lakini ni wale wa jenasi ''[[Apis]]'' wanaotengeneza [[asali]] inayovunwa kwa matumizi ya [[binadamu]].
 
== Umbo la nyuki ==