Uvimbe wa ubongo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d #WPWP,#WPWPTZ |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Granulomatous amoebic encephalitis (2).png|thumb|Picha
'''Uvimbe wa ubongo''' (kwa [[Kiingereza]] ''encephalitis'') ni [[ugonjwa]] ambao husababisha [[ubongo]] kuvimba ghafla. Kwa kawaida husababishwa na [[virusi]], [[bakteria]] (
Uvimbe wa ubongo unaweza kusababisha [[dalili]] hatarishi kama vile kupata [[kifafa]] na [[kiharusi]], na hii inaweza kuwa mbaya zaidi.
Mstari 7:
== Ishara na dalili ==
Kwa kawaida, [[watu wazima]] wenye ugonjwa wa uvimbe wa ubongo wana [[homa]] inayoanza ghafla, [[maumivu]] ya [[kichwa]], kuchanganyikiwa, na wakati mwingine [[kifafa]]. [[Watoto]] wadogo au watoto wachanga wanaweza kuwa na [[hasira]], hawataki kula, na hupatwa na [[homa]].
Kwa kawaida wagonjwa huwa wanachoka sana au wanachanganyikiwa.
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-tiba}}
|