Kiabua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
#WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:Abua_mask_BM_Af1956_27_230.jpg|thumbnail|right|200pax|Sanaa ya kinyago cha Kiboko,moja ya sanaa za kabila la Waabua]]
'''Kiabua''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Nigeria]] inayozungumzwa na [[Waabua]]. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiabua imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabua iko katika kundi la Cross River.