Bergen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
+photo1a =08-08-01 Fløyen utsikt.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:photo1a =08-08-01 Fløyen utsikt.jpg|thumbnail|right|280px|Sehemu mbalimbali za mji wa Bergen]]
'''Bergen''' ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Norwei. Mji una wakazi takriban 262,500 kulingana na makisio ya 31 Julai 2011.<ref>{{cite web|url=http://www.ssb.no/english/subjects/02/02/folkendrkv_en/2011k1/kvart12-en.html|title=Population per 1 April 2011 and population changes during 1st quarter of 2011. Hordaland.|publisher=Ssb.no |date=2011-04-01 |accessdate=2011-06-08}}</ref> Bergen ni kitovu cha ngazi ya utawala ya jimbo la [[Hordaland]]. Maeneo ya Mji Mkuu wa Bergen kama yalivyoelezwa na [[Statistics Norway]], una wakazi 386,400 ifikapo 31 Julai 2011.