Michezo ya jukwaani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Drama_at_University_of_Ghana_05.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:Drama_at_University_of_Ghana_05.jpg|thumbnail|right|200pax|Mchezo wa jukwaani chuo kikuu cha Ghana]]'''Michezo ya jukwaani''' ni [[michezo]] ambayo huigizwa katika [[jukwaa]]. Michezo ya jukwaani yaani [[waigizaji]] huiga [[maisha]] halisi ya [[jamii]]. Katika michezo ya jukwaani, waigizaji (fanani) huwa mbele ya [[hadhira]] na kuonesha matendo mbalimbali yanayoakisi jamii kupitia [[sanaa]] hiyo ya [[maigizo]].
 
Sanaa hiyo ya [[maigizo]] huwa na faida kubwa kwa jamii. Baadhi ya faida hizo ni: