Waluo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+Luo_village_04.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:Luo_village_04.jpg|thumbnail|right|200pax|Kibanda cha Kiluo]]
'''Waluo''' (pia '''Wajaluo''') ni [[kabila]] kutoka [[Sudan Kusini]]. Wako hasa [[magharibi]] mwa [[Kenya]], [[kaskazini]] mwa [[Uganda]] na [[mashariki]] mwa [[Tanzania]] katika [[Mikoa]] ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Mwanza|Mwanza]]. Nchini Kenya ni kabila la [[nne]] kwa wingi wa watu (11% za wakazi wote wa nchi). Inawezekana katika nchi hizo kwa jumla wamezidi [[milioni]] 7, mbali na makabila ya jamii hiyohiyo.