Mbege : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d +image #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Musa acuminata La Palma.jpg|thumb|Mgomba (Ndizi) unaotumika kutengeneza mbege]]
'''Mbege''' ni pombe ya asili ya [[Wachagga]], wakazi wa mkoa wa [[Mkoa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro]]. Mbege hutengenezwa na [[ndizi]] mbivu, [[ulezi]], na [[maji]]. Mara nyingi mbege hutengenezwa na wanawake na hutumika katika sherehe na matukio mbalimbali kama vile harusi, misiba, [[ubarikio]], kuzaliwa kwa mtoto, n.k. Mbege hutumiwa pia kama faini kwenye mahakama za jadi. Utengenezaji wa mbege hufanywa pia kama shughuli ya kibiashara. Mbege huuzwa katika vilabu vya pombe na pia majumbani.