Ugaidi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 99 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7283 (translate me)
+UA_Flight_175_hits_WTC_south_tower_9-11_edit.jpeg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:UA_Flight_175_hits_WTC_south_tower_9-11_edit.jpeg|thumbnail|right|200px|Mashambulio ya kigaidi mwaka 2001]]
'''Ugaidi''' ni mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.