Tofauti kati ya marekesbisho "Waziri mkuu"

92 bytes added ,  mwezi 1 uliopita
#WPWP #WPWPTZ
(#WPWP #WPWPTZ)
 
[[picha:Kassim_Majaliwa.jpg|thumbnail|right|200px|Kasimu Majaliwa,waziri mkuu wa Tanzania]]
'''Waziri Mkuu''' ni cheo cha kiongozi wa serikali. Neno lasema ya kwamba yeye ni mkubwa kati ya mawaziri wa serikali. Madaraka yake hutegemea na [[katiba]] ya nchi. Kwa kawaida cheo hiki kipo katika nchi ambako [[mkuu wa dola]] ambaye mara nyingi huitwa [[rais]] au pia [[mfalme]] ([[malkia]]) hashughuliki mwenyewe mambo ya serikali.