Ghafi ya tani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+Ship diagram-numbers.svg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Ship diagram-numbers.svg|thumbnail|right|200px|vipimo vya Tani GT hufanywa kwa kupima Ujazo wa Meli kutoka kwenye mkuku wa merikebu mpaka kwenye faneli]]
'''Tani GT''' ([[kifupi]] cha [[tani]] ya aina ya "'''gross tonnage'''") ni [[kipimo]] cha ukubwa wa [[meli]] kilichokuwa kawaida kimataifa tangu [[mwaka]] [[1982]] kufuatana na [[mapatano ya kimataifa]] kuhusu [[upimaji]] wa ukubwa wa meli (The International Convention on Tonnage Measurement of Ships) ya mwaka [[1969]]. Tani GT zilichukua nafasi ya vipimo vya awali vilivyoitwa pia [[tani]] lakini kwa [[mjao]] tofauti iliyokadiria mjao wa nafasi za [[shehena]] (mzigo) pekee.