Tofauti kati ya marekesbisho "Robert Luther"

140 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
(#WPWP#WPWPTZ)
 
 
== Wasifu ==
[[picha:Medal Luther Goldschmidt Hind.jpg|thumbnail|right|200px|Medali ya ukumbusho wa wana anga watatu,Robert Luther akiwa miongoni mwao]]
Robert Luther alizaliwa 16 Aprili 1822 na wazazi wake [[Luther]] na [[Wilhelmine von Ende]]. Alisoma nyumbani na baada ya hapo katika shule ya secondari ya eneo hilohilo. Mnamo [[1841]] alihamia chuo cha [[Breslau]] ambapo alisoma hadi [[1843]].