Tofauti kati ya marekesbisho "Jan Koum"

113 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[picha: Tumblr inline n19k9vpY8G1qzzumw (cropped).jpg|thumbnail|right|200px|Jan Koum(kushoto) na Brian Acton]]
 
'''Jan Koum''' (alizaliwa [[Februari 24]], [[1976]]) ni [[mtaalamu]] wa [[kompyuta]] [[Mmarekani]] mwenye [[asili]] ya [[Ukraine]]. Ni mmoja wa [[waanzilishi]] na alikuwa [[Mkurugenzi]] wa [[WhatsApp]], ambayo ilinunuliwa na [[Facebook Inc.]] mnamo [[Februari]] [[2014]] kwa [[Dola ya Kimarekani|dola za Kimarekani]] [[bilioni]] 19.3.