65
edits
(#WPWP#WPWPTZ) |
|||
[[picha:Three Wise Men (Barry Cunliffe cropped).jpg|thumbnail|right|200px|Profesa Sir Barrington Windsor Cunliffe]]
'''Sir Barrington Windsor Cunliffe''' (anayejulikana kama '''Barry Cunliffe'''; alizaliwa [[tarehe]] [[10 Desemba]] [[1939]]), ni [[mwanaakiolojia]] wa [[Uingereza]]. Alikuwa [[Profesa]] wa [[Akiolojia]] katika [[Chuo Kikuu cha Oxford]] kutoka mwaka [[1972]] hadi [[2007]]. Tangu 2007, amekuwa profesa mstaafu.
|
edits