Frank Adams : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[picha:Puppe Adams.jpg|thumbnail|right|200px|Frank Adams (kulia) na Dieter Puppe mwaka 1962, Aarhus]]
 
'''John Frank Adams''' ([[5 Novemba]] [[1930]] - [[7 Januari]] [[1989]]) alikuwa [[mtaalamu]] wa [[hisabati]] wa [[Uingereza]], mmoja wa wasaidizi wakubwa wa [[nadharia]] inayohusisha mfumo wa vikundi kwa kila mpangamano wa [[anga]].