John Napier : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[picha:John_Napier.jpg|thumbnail|right|200px|John Napier]]
 
'''John Napier''' ([[1550]] - [[4 Aprili]] [[1617]]) alikuwa [[mtaalamu]] wa [[hisabati]] na [[fizikia]] kutoka [[Uskoti]] anayejulikana kama [[mwanzilishi]] wa [[logi]]. Pia anajulikana kuwa amefanya matumizi ya viwango vya mwisho vya [[desimali]] katika hesabu.