Tofauti kati ya marekesbisho "Antonio Meucci"

78 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[picha:Antonio Meucci.jpg|thumbnail|right|200px|Antonio Meucci mwaka 1878]]
 
'''Antonio Meucci''' ([[Firenze]], [[Italia]], [[13 Aprili]] [[1808]] – [[New York]], [[Marekani]], [[18 Oktoba]] [[1889]]) alikuwa [[Mwitalia]] aliyeanzisha matumizi ya [[simu]] toka [[mwaka]] [[1871]] huko Marekani, kabla ya [[Alexander Graham Bell]] kujitambulisha [[Serikali|serikalini]] mwaka [[1876]] kamwa [[mgunduzi]] wa njia hiyo ya [[mawasilianoanga]].