Martin Karplus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Martin Karplus Nobel Prize 22 2013.jpg|thumbnail|right|200px|Martin Karplus]]
 
'''Martin Karplus''' (amezaliwa [[15 Machi]], [[1930]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Austria]] aliyehamia [[Marekani]] katika ujana wake. Hasa alichunguza uendelezaji wa miundo ya kikemia. Mwaka wa [[2013]], pamoja na [[Michael Levitt]] na [[Arieh Warshel]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.