Tomas Tranströmer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Tomas Tranströmer''' (amezaliwa 15 Aprili, 1931 mjini Stockholm) ni mshairi, mwanasaikolojia na mfasiri kuto...'
 
#WPWP#WPWPTZ
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha: Transtroemer.jpg|thumbnail|right|200px|Tomas Tranströmer]]
 
'''Tomas Tranströmer''' (amezaliwa [[15 Aprili]], [[1931]] mjini [[Stockholm]]) ni mshairi, mwanasaikolojia na mfasiri kutoka nchi ya [[Uswidi]]. Hasa ameandika mashairi kuhusu majira ya baridi nchini mwake. Mwaka wa [[2011]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]'''.