Tofauti kati ya marekesbisho "Andre Geim"

65 bytes added ,  miezi 2 iliyopita
#WPWP#WPWPTZ
d (corr using AWB)
(#WPWP#WPWPTZ)
 
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha: Andre Geim 2010-1.jpg|thumbnail|right|200px|Andre Geim]]
 
'''Sir Andre Konstantin Geim''' (amezaliwa [[21 Oktoba]], [[1958]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Urusi]] aliyeshika uraia wa [[Uingereza]] na [[Uholanzi]]. Hasa amechunguza [[grafini]]. Mwaka wa [[2010]], pamoja na [[Konstantin Novoselov]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''. Mwaka wa [[2012]] alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.