Albert Fert : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Fert-002.jpg|thumbnail|right|200px|Albert Fert]]
 
'''Albert Fert''' (amezaliwa [[7 Machi]], [[1938]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa amechunguza [[usumaku]]. Mwaka wa [[2007]], pamoja na [[Peter Grünberg]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.