Vitali Ginzburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Vitali Ginsburg hadi Vitali Ginzburg: jina rasmi lina z badala ya s
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Виталий Лазаревич Гинзбург.jpg|thumbnail|right|200px|Vitali Ginzburg]]
 
'''Vitali Lazarevich Ginzburg''' ([[4 Oktoba]], [[1916]] - [[8 Novemba]], [[2009]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Urusi]]. Hasa alichunguza [[usumaku]] na mionzi kutoka [[nyota]]. Mwaka wa [[2003]], pamoja na [[Alexei Abrikosov]] na [[Anthony Leggett]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]'''.