Eden Hazard : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[Picha:Eden Hazard at Baku before 2019 UEFA Europe League Final.jpg|thumbnail|right|250px|Hazard kabla ya fainali ya klabu Bingwa Barani Ulaya mwaka 2019]]
'''Eden Michael Hazard''' ([[matamshi]] ya [[Kifaransa]]: [edɛn azaʁ]; alizaliwa [[7 Januari]] [[1991]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ubelgiji]] ambaye anacheza [[klabu]] ya [[Hispania]] [[Real Madrid]] na [[timu ya taifa]] ya Ubelgiji. Yeye hasa anacheza kama [[Kiungo (michezo)|kiungo]] [[mshambuliaji]] na kama kiungo kikubwa.