Kura ya maoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 71 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43109 (translate me)
+Odessa_Russian_Sring_20140330_07.JPG #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1:
[[picha:Odessa_Russian_Sring_20140330_07.JPG|thumbnail|right|200px|Maandamano ya kudai kura za maoni nchini Ukrane mwaka 2014]]
'''Kura ya maoni''' zinatumika katika [[demokrasia]] ili kuchagua [[kiongozi|viongozi]] wa [[nchi]] au kuamua kama sheria fulani itumike. Kawaida kura ya maoni hupigwa na wale wote wenye umri halali wa kupiga kura ili kukubali au kukataa pendekezo, [[sera]], [[sheria]], [[mabadiliko ya katiba]], [[katiba]] mpya, kukataa au kumuunga mkono kiongozi fulani. Kura ya maoni huchukuliwa kuwa ni aina mojawapo ya [[demokrasia ya moja kwa moja]].