Hagia Sophia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Ayasofya-Innenansicht.jpg|thumb|200px|Hagia Sophia kwa ndani]]
[[Picha:00058 christ pantocrator mosaic hagia sophia 656x800.jpg|thumb|200px|Mozaiki ya Yesu katika ukuta wa Hagia Sophia]]
'''Hagia Sophia''' ni [[jina]] la [[Kigiriki]] ('''Ἅγια Σοφία''', yaani ''("Hekima takatifu"; kwa [[Kituruki]] Ayasofya) la [[kanisa]] kubwa mjini [[Istanbul]] - [[Konstantinopoli]] lililobadilishwa kuwa [[msikiti]] tangu [[mwaka]] [[1453]] naisipokuwa halafu kuwalilipofanywa [[makumbusho]] mwakamiaka [[1934]]-[[2020]].
Jina linatokana katika [[Kigiriki]] '''Ἅγια Σοφία''' ''("hekima takatifu")'' na kwa [[Kituruki]] inaitwa Ayasofya.
 
[[Ujenzi]] wa kanisa ulianzishwahilo ulianza mwaka [[532]] nakwa [[amri]] ya [[Kaisari]] [[Justiniani I]] [[mtawala]] wa [[Roma ya Mashariki]] au [[Ufalme wa Byzanti]]. Alitaka kuwa na kanisa kubwa kuliko yote [[duniani]] akafaulu kwa sababu Hagia Sofia ilikuwa [[ukumbi]] mkubwa duniani hadi mwaka [[1520]]. [[Jengo]] lilikamilishwa baada ya miaka mitano na Justiniani alipoingia mara ya kwanza aliita, "Suleimani, nimekushinda", akimfikiria [[mfalme]] [[Suleimani]] wa [[Israeli ya Kale]] aliyejenga [[hekalu la Yerusalemu]].
 
Mwaka 1453 Waturuki [[Waislamu]] waliteka [[mji]] wa Konstantinopoli na kuifanyakuufanya [[mji mkuu]] wa [[Dola la Osmani]]. Hapo Hagia Sofia likabadilishwa kuwa msikiti na Waturuki wakatamka jina la kigiriki kama "Ayasofya". Jengo la kanisa likaongezekwalikaongezewa [[Mnara|minara]] minne ya [[mtindo]] wa Kiislamu.
 
Baada ya anguko la Waosmani katika [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] [[kiongozi]] wa taifa [[Kemal Atatürk]] akaamuru jengo liwe makumbusho, lakini [[tarehe]] [[24 Julai]] 2020 limeanza kutumika tena kama msikiti.
 
== Viungo vya Nje ==
Line 19 ⟶ 18:
[[Jamii:Majengo]]
[[Jamii:Makanisa]]
[[Jamii:Msikiti]]
[[Jamii:Makumbusho]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]