Uzamivu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+BJCroome_UCT_PhD_Graduation_2008.jpg #WPWP #WPWPTZ
No edit summary
Mstari 4:
Inatolewa na [[vyuo vikuu]] baada ya [[digrii ya bachelor]] na shahada ya [[uzamili]].
 
Kwa kufuata [[tabia]] za [[lugha]] nyingine, [[jina]] [[daktari]] hutumiwa pia kama [[jina la heshima]] kwa [[mtu]] aliyepata shahada ya uzamivu. Katika nchi nyingi, mtu aliyepokea shahda ya uzamivu anaongeza cheo kabla ya jina lake kwa kifupi ambacho kimatifa ni "Dr.", kwa Kiswahili mara nyingi pia "Dk."
 
Ilikuwa [[desturi]] hadi leo kwamba mgombea wa uzamivu anaonyesha uwezo wake kwa kutunga [[tasnifu]] ambayo ni [[kitabu]] kamili. Siku hizi masharti ya tasnifu zinaweza kutimizwa pia kwa kutunga [[idadi]] fulani za makala zinazohitaji kupokewa na [[Jarida|majarida]] ya kitaalamu ambamo zinachunguliwa na [[wataalamu]] wengine kabla ya kupokewa na kuchapishwa.
 
Nje ya utaratibu wa kawaida kuna pia cheo cha "daktari wa heshima" ''([[:en:Honorary_degree|honorary doctorate]])''; hutolewa kwa mtu anayetazamiwa kuwa na michango mikubwa kwa maendeleo ya sayansi fulani, elimu kwa jumla au kwa taasisi ya elimu. Mara nyingi hutolewa pia kwa sababu za kisiasa. Kifupi chake kwa kawaida ni "Dr. h.c."; "h.c." ni kifupi cha Kilatini ''honoris causa'' kinachomaanisha "kwa sababu ya heshima".
 
{{mbegu-elimu}}