Kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 26:
<sup>Tazama pia makala kuu: [[Kamusi za Kiswahili]]</sup>
 
Kamusi yaza kwanza yaza Kiswahili inayojulikanazinazojulikana ilitungwazilitungwa na wamisionari Wakristo katika karne ya 19. Wa kwanza alikuwa [[Ludwig Krapf]], mmisionari Mjerumani aliyefika Mombasa kwa niaba ya [[Church Missionary Society (CMS)|Misioni Anglikana]]; alikamilisha muswada mnamo 1848 akaendelea kuifanyia kazi baada ya kurudi Ujerumani ikachapishwa mwaka 1882. Hii ilikuwa kamusi thaniya iliyorodhesha istilahi za Kiswahili pamoja na tafsiri na maelezo kwa Kiingereza. Krapf alitumia mwandiko wa Kilatini kwa kuandika Kiswahili, lugha iliyowahi kuandikwa kwa mwandiko wa Kiaarabu hadi wakati ule.
 
Mnamo mwaka 1870 [[Edward Steere|Askofu Edward Steere]] alitoa "Mwongozo wa Kiswahili cha Zanzibar" alipoeleza sarufi ya Kiswahili pamoja na kurasa 180 za faharasa ya maneno ya Kiswahili na tafsiri ya Kiingereza. Mwanafunzi wake alikuwa [[A.C. Madan]] aliyekamilisha kazi ya Steere na kutunga kamusi za Kiingereza-Kiswahili na Kiswahili-Kiingereza. Mnamo 1891 padre Mkatoliki [[Charles Sacleux]] alitunga kamusi ya Kiswahili-Kifaransa inayosifiwa kwa kuonyesha vizuri asili ya maeneno yaani [[etimolojia]].
 
Katika karne ya 20 serikali za kikoloni zilifanya jitihada za kusanifisha Kiswahili; pamoja na kamusi za Wajerumani [[Carl Büttner]] na [[Carl Velten]] ni hasa jitihada za [[Kamati ya kimaeneo ya lugha ya Kiswahili]] chini ya [[ Frederick Johnson]] iliypanisha kazi ya Madan na kutoa kamusi iliyotumiwa Kenya na Tanganyika. Baada ya uhuru kazi hiyo iliendelezwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye pia katika mabaraza ya kitaifa ya Kiswahili pale Tanzania, Zanzibar na Kenya. Taasisi hizo zote zimetoa kamusi zao.
Mwanafunzi wake alikuwa [[A.C. Madan]] aliyekamilisha kazi ya Steere na kutunga kamusi za Kiingereza-Kiswahili na Kiswahili-Kiingereza.
 
== Muundo wa kamusi ==